Habari za Afodabo
4 makala
Habari za Afodabo
Safari ya Moureen Godwin Mollel Jinsi Kilimo kilivyomkutanisha na Fursa
"Wakati wengine walikuwa wanatafuta ofisi zenye viyoyozi, yeye alichagua shamba lenye upepo wa asili."
Habari za Afodabo
Wakulima wa AFODABO FARM Wanavyonufaika na Teknolojia ya Kisasa
AFODABO FARM inaendelea kuwasaidia wakulima nchini Tanzania kwa kuwapatia suluhisho za kisasa zinazowawezesha kuongeza uzalishaji na kupata masoko yenye uhakika. Kupitia mfumo wa AFODABO FARM, wakulima wanaweza kusajili mazao yao, kufuatilia bei za soko, na kuwasiliana moja kwa moja na wanunuzi na wataalamu wa kilimo.